Gloria Muliro is definitely one of my all time favorite artists. She has a new jam which has been on replay since it released. The video has been shot in an amazingly beautiful location not to mention how sizzling mwoto she looks in this video.
Ingelikuwa Mungu anauliza mwanadamu, jinsi ya kumtendea mwanadamu,
Basi mimi nisingekuwa jinsi nilivyo, hata tena nisingekuwa mahali nilipo,
Ungeambiwa sifai, wangekukanya vikali,
Ungekumbushwa dhambi zangu za kale, Baba yoyo
Unabariki unayependa ah,
Unabariki unavyopenda ah,
Mimi, nahitaji eh,
Nahitaji ndio oh yako Yesu tu,
Nahitaji ndio oh yako Yesu tu,
Ninataka ndio oh yako Yesu tu,
Ndio yako ndio itanisimamisha,
Ndio yako itanifungulia milango,
In short, the only validation you need is from Christ Jesus. Many at times we go looking for validation and acceptance from all the wrong places and we end up getting hurt and disappointed. As long as Jesus says YES, keep rocking ain't nobody gonna stand in your way child.